Kuhusu Hii Kozi 

Kozi hii ni kwa ajili ya wanafunzi wote wa udereva katika NSW Australia, iwe ni mara yako ya kwanza kujifunza, una leseni ya kutoka nchi nyingine, au wewe ni mkazi mpya unayejiandaa kwa mtihani wa vitendo ili upate leseni yako ya kuendesha gari. Tunakupa maarifa, ushauri, na mifano inayozingatia sheria rasmi za barabara. Ukimaliza mafunzo haya, utajua mpangilio wa mtihani, utaepuka makosa ya kawaida, na utapata ujasiri wa kufaulu mtihani wako kwa usalama.

Course Curriculum

  1. 1

    UTANGULIZI

    1. (Included in full purchase)
  2. 2

    Sura ya 1: MAGARI ZINAZO RUHUSIWA KUENDESHWA NA LESENI YA P1

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  3. 3

    Sura ya 2: MAVAZI YA KUVAA UNAPOENDESHA GARI

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  4. 4

    Sura ya 3: KUWA NA LESENI YAKO KILA WAKATI

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  5. 5

    Sura ya 4: KUFUNGUA MLANGO WA GARI

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  6. 6

    Sura ya 5: SEHEMU ZA GARI NA KAZI ZAKE

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  7. 7

    Sura ya 6: SHERIA ZA "L plate" katika NSW

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  8. 8

    Sura ya 7: KUINGIA KWENYE KITI CHA DEREVA

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)
  9. 9

    Sura ya 8: Utaratibu wa MISS

    1. (Included in full purchase)
    2. (Included in full purchase)

Je! uko tayari kupita Mtihani Wa Udereva New South Wales? 

Jiandikishe sasa na upate ujuzi na ujasiri unayo hitaji ili uweze kupita mtihani wako wa kuendesha gari New South Wales Australia.